My Ballot Box
Bajeti ya 2009/2010 imelenga kumkomboa mwananchi wa kawaida?

Ndiyo
Hapana
Ni kwa faida yao
Sijui


View Results
RFA I               KissFM I 
VOA I              Dullonet.Com
Related Links
Fagilia au Siliba katika kuboresha
Copyright  @  STAR TV LTD . All Rights Reserved.
Home     I    About Us     I     Contact Us    I      Startv Crew    I     Schedule     I     Coverage     I     Login
Startv Progammes
Startv Tanzania-Brightens Your Day
Habari za Michezo
Your Ad Here
Startv Menu
Leo::
Serikali imebaini kasoro nyingi katika utekelezaji  wa mfumo wa vocha ambazo ni pamoja na  bei ya mbolea kuendelea kuwa kubwa na kutokubalika kwa mbolea ya aina ya minjingu     ... Zaidi
Na  Kasilda Mgeni Mulimila, Dodoma       
           
Serikali yabaini makosa katika mfumo wa vocha.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt John Magufuli (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Bukoba Vijijini Nazir Karamagi(kulia)  mjini Dodoma wakati wanaelekea Bungeni kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha 11 cha mkutano wa 18 unaoendelea mjini Dodoma.






Iran kurutubisha madini kwa asilimia 20.




Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Iran ameonya kuwa nchi yake karibuni itaanza yenyewe kurutubisha madini ya uranium kwa kiwango cha asilimia 20, iwapo mataifa yenye nguvu yataendelea kuichezea nchi hiyo.

Rais wa Iran ametoa kauli hiyo wakati wanachama watano wa kudumu katika. . ... Zaidi


Rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad..



Habari za Kimataifa.
Na Halima Nyanza (dpa, Reuters)
Bongo Beats every Monday to Saturday @ 1900hrs
Bonga na Startv every  Monday to Saturday @ 1705hrs
Habari every  Monday to Sunday @ 2000hrs
Home                                            About Us                                                    Contact Us                                                Startv Crew                                           Login

Idara tatu Kisarawe kuchunguzwa na PCCB.
Na Julieth Ngarabali, Kisarawe

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa -PCCB-wilayani Kisarawe Mkoani Pwani hivi karibuni itaanza kutembelea idara na maeneo yote yaliyolalamikiwa na wananchi  kuhusika na kuomba ama kupokea rushwa wilayani humo ili kuchunguza masuala yaliyopelekwa katika taasisi hiyo na wananchi hao......... ... Zaidi


Google Groups
matukio
Visit this group
online counter
Kipindi cha kuelekea Uchaguzi 2010, tutumie maoni yako uchaguzi2010@startvtz.com