Wednesday February 22nd 2012

Dr. Shein akutana na watendaji wa Wizara ya Afya, Kazi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amekutana na watendaji wa Wizara Afya, Ikulu Mjini Zanzibar jana,katika mpangilio wake wa kuzungumza na kila Wizara ya Serikali ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na watendaji wa Wizara Afya katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana,katika mpangilio wake wa kufanya mazungumzo na kila Wizara ya Serikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na watendaji wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati, Ikulu Mjini Zanzibar,katika mpangilio wake wakuzungumza na kila Wizara ya Serikali ya Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana. Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na watendaji hao Ikulu Mjini Zanzibar, katika mpangilio wake wakuzungumza na kila Wizara ya Serikali ya Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman IKULU.

Leave a Comment

More from category

Waziri Dk. Mary Nagu akutana na ujumbe wa wawakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka China.
Waziri Dk. Mary Nagu akutana na ujumbe wa wawakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka China.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akisalimiana na aliyekuwa Mwakilishi Mkuu wa [Read More]

WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA
WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakimshukuru Mtembi Majebele baada ya kupewa heshimi ya Kuwa [Read More]

DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI
DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi jengo la [Read More]

UZINDUZI WA MAULID KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR
UZINDUZI WA MAULID KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar Dk, Ali Mohamed Shein akisalimiana na Masheikh na waheshimiwa mbalimbali alipohudhuria katika Kisiwa [Read More]

TATHIMINI YA MBIO ZA MBIO ZA MWENGE YAFANYIKA MOROGORO
TATHIMINI YA MBIO ZA MBIO ZA MWENGE YAFANYIKA MOROGORO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo Mama Sihaba Nkinga akiwahutubia washiriki wa Mkutano [Read More]