Wednesday February 22nd 2012

Ngeleja asaini mikataba mitatu ya utafiti wa mafuta nchini.

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akiwekeana saini na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Motherland Industries Limited kutoka India Bw, V. K. Sood (Kulia) uwekaji saini wa mikataba mitatu ya utafiti wa mafuta nchini, umefanyika jana jijini Dar es Salaam.
Kamishna Msaidizi wa Nishati kutoka Wizara ya Nishati na Madini Bw, Prosper Victus (alisimama mbele na Kabrasha) akitoa maelezo ya awali wakati wa uwekaji wa saini mikataba mitatu ya utafii wa mafuta kutoka kampuni za nje jana wakati wa hafla hiyo kwenye jengo la Wizara ya hiyo jijiji Dar es Salaam. Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kulia) akifafanua jambo wakati wa uwekaji saini wa mikataba mitatu ya uatafiti wa mafuta kutoka kampuni za nje jijini jana DSM (Kulia) ni Kamishna Msaidizi wa Nishati (Petroleum na Gas ) Bw, Prosper Victus.
Waziri wa Nishati na Madini Wiliam Ngeleja (kushoto) akibadilisha hati za makubaliano ya utafiti wa mafuta nchini na Mkurugenzi Mtendaji wa kampun i ya Petrobras kutoka Brazil Bw, Samuel Bastos de Miranda (kulia) , hafla hiyo imefanyika jana jijini Dar es Slaam wakati wa hafla ya uwekaji saini wa mikataba mitatu ya utafiti wa mafuta wa kampuni kutoka nje. Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (katikati) akiweka saini mkataba wa utafiti wa mafuta nchini kwa kampuni tatu kutoka nje, (kushoto) ni Mkurugenzi mtendaji wa TPDC Bw, Yona Killagane na (kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Matherland industries LTD kutoka India, Bw. V.K. Sood .(kulia). Mkataba huo umewekwa saini jana kwenye jingo la Wizara ya Nishati na Madini, (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

Leave a Comment

More from category

Waziri Dk. Mary Nagu akutana na ujumbe wa wawakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka China.
Waziri Dk. Mary Nagu akutana na ujumbe wa wawakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka China.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akisalimiana na aliyekuwa Mwakilishi Mkuu wa [Read More]

WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA
WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakimshukuru Mtembi Majebele baada ya kupewa heshimi ya Kuwa [Read More]

DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI
DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi jengo la [Read More]

UZINDUZI WA MAULID KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR
UZINDUZI WA MAULID KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar Dk, Ali Mohamed Shein akisalimiana na Masheikh na waheshimiwa mbalimbali alipohudhuria katika Kisiwa [Read More]

TATHIMINI YA MBIO ZA MBIO ZA MWENGE YAFANYIKA MOROGORO
TATHIMINI YA MBIO ZA MBIO ZA MWENGE YAFANYIKA MOROGORO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo Mama Sihaba Nkinga akiwahutubia washiriki wa Mkutano [Read More]