Wednesday February 22nd 2012

Dk. Shein akutana na uongozi wa Wizara ya Katiba na Utawala Bora.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Utawala Bora,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Watendaji wa Uongozi wa Wizara ya Katiba na Utawala Bora,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo leo. Picha na Ramadhan Othman IKULU

Leave a Comment

More from category

Waziri Dk. Mary Nagu akutana na ujumbe wa wawakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka China.
Waziri Dk. Mary Nagu akutana na ujumbe wa wawakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka China.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akisalimiana na aliyekuwa Mwakilishi Mkuu wa [Read More]

WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA
WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakimshukuru Mtembi Majebele baada ya kupewa heshimi ya Kuwa [Read More]

DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI
DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi jengo la [Read More]

UZINDUZI WA MAULID KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR
UZINDUZI WA MAULID KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar Dk, Ali Mohamed Shein akisalimiana na Masheikh na waheshimiwa mbalimbali alipohudhuria katika Kisiwa [Read More]

TATHIMINI YA MBIO ZA MBIO ZA MWENGE YAFANYIKA MOROGORO
TATHIMINI YA MBIO ZA MBIO ZA MWENGE YAFANYIKA MOROGORO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo Mama Sihaba Nkinga akiwahutubia washiriki wa Mkutano [Read More]