); bloginfo(

Kutokuwa na furaha, Iniesta asema umaarufu unamsumbua Ronaldo.

Siku chache baada ya kuripotiwa kuwa mshambuliaji Cristiano Ronaldo hana furaha Real Madrid,kiungo wa FC Barcelona Andres Iniesta amesema kuwa umaarufu ndiyo unaomsumbua nyota huyo.

Iniesta ameenda mbali  zaidi kwa kufunguka kuwa kuna kitu kinamsumbua Ronaldo, hasa baada ya yeye kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ulaya, huku akisingizia kuwa amekosa kuungwa mkono na wachezaji wenzake  kwa kutoheshimiwa na klabu kwa ujumla.

Nyota huyo wa Barcelonaameongeza kuwa kuna wakati fulani vitu vinakuwa si sawa kulingana na haiba aliyo nayo na heshima kwa wachezaji wenzake, makocha au elimu, lakini siku zote amesubiri kupata kitu na amefanikiwa.

Iniesta amesema ni vigumu kufikiri kwa ujumla wake kuwa vyombo vya habari kuwa naufa, kwa kubadili mambo, nakamaunafanya kazi vema mwishowe mambo yote yanakuja nyuma na  kugeuka kuwa mazuri.

Tetesi zimezagaa kuwa Cristiano Ronaldo ameshindwa kukubaliana mambo fulani na uongozi wa juu na wachezaji wenzake ndani ya klabu ya Real Madrid ndiyo chanzo cha matatizo ya Ronaldo,lakini Iniesta amebainisha kuwa ndiyo hali ya halisi ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo upepe hubadilika.

Hata hivyo Ronaldo amekanusha shutuma kuwa anataka kuongezewa fedha nyingi, ndiyo maana anatishia mambo yasiyo na tija  , huku akisisitiza kuwa kutokana na kutothaminiwa kutokana na thamani ya bidhaa anayozalisha haoni sababu na pia ubaguzi wa wachezaji wa kireno na wahispania, hali ambayo imepingwavikali na uongozi wa juu wa klabu hiyo.

Imeandaliwa na Hillal Riyami.

VN:F [1.9.22_1171]
Rating: 0.0/10 (0 votes cast)
VN:F [1.9.22_1171]
Rating: 0 (from 0 votes)

2 Comments

  1. Stunning quest there. What happened after? Thanks!

    VA:F [1.9.22_1171]
    Rating: 0.0/5 (0 votes cast)
    VA:F [1.9.22_1171]
    Rating: 0 (from 0 votes)
  2. Excellent blog! Do you have any hints for aspiring writers?
    I’m hoping to start my own blog soon but I’m a little
    lost on everything. Would you recommend starting with a free platform like WordPress or go for a paid option?
    There are so many choices out there that I’m totally overwhelmed .. Any tips? Thank you!

    VA:F [1.9.22_1171]
    Rating: 0.0/5 (0 votes cast)
    VA:F [1.9.22_1171]
    Rating: 0 (from 0 votes)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>