Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanayakazi wa Sekta mbali mbali za Serikali na Sekta Binafsi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEY DAY)zilizofanyika jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kushoto) Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar,Zahrani Mohamed Nassor,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Fedha tasilim Margreth Peter Mathew wa Nelia Hotel & Resort Zanzibafr, Shilingi za Kitanzania Laki Saba,(700,000/=) kupitia Chama cha wafanykazi (CHODAU) akiwa katika miongoni mwa wafanyakazi bora kwa mwaka 2012,wakati wa sherehe za siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Fedha tasilim Kidawa Juma said Shilingi za Kitanzania Laki Mbili na Hamsini Elfu (250,000/=) Mfanyakazi Bora,wa Halmashauri ya Wilaya ya Magharibi kupitia Chama cha wafanykazi (ZALGWU) akiwa katika miongoni mwa wafanyakazi bora kwa mwaka 2012,wakati wa sherehe za siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika jana katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawani. {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati ) akishikana mikono na viongozi wakati wa Sherehe za kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,na kuimba wimbo wa (Solidariti Foreva) wakinyanyua juu mikono kuonesha mshikamano katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja zilizofanyika sherehe hizo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati ) akishikana mikono na viongozi wakati wa Sherehe za kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,na kuimba wimbo wa (Solidariti Foreva) wakinyanyua juu mikono kuonesha mshikamano katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja zilizofanyika sherehe hizo jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

































Maoni toka kwa Watazamaji