Wednesday February 22nd 2012

‘Habari za Biashara na Uchumi’ Archives

Zaidi ya magari 200 yakwama mpakani Holili

Zaidi ya magari 200 yakwama mpakani Holili

Na Enos Masanja, Moshi.  Zaidi ya magari 200 yanayosafirisha mzigo kupitia mpaka wa Holili juzi yamekwama kwa zaidi ya masaa tisa baada ya mpaka waTanzanianaKenyakufungwa kwa muda.   Kufungwa kwa mpaka huo na wananchi kulikoshuhudiwa na mamlaka za kisheria baina ya [Read More]

Zana za uchimbaji, Wachimbaji Wadogo kunufaika kanda ya kati.

Zana za uchimbaji,  Wachimbaji Wadogo kunufaika kanda ya kati.

Na Emmanuel Michael, Singida.  Wachimbaji wadogo wa madini ya aina mbalimbali kanda ya kati wanatarajiwa kuondokana na matumizi ya zana duni katika migodi yao baada ya kufunguliwa  kwa kituo cha  kukodisha, kukopesha na kuuza vifaa vya kisasa  kwa ajili ya kufanyia  [Read More]

Umeme wa jua, Wakazi Kiagata Musoma kuanza kunufaika.

Umeme wa jua, Wakazi Kiagata Musoma kuanza kunufaika.

Na Mabere Makubi,             Musoma.  Wakazi wa vijiji 14 vya Tarafa ya Kiagata Wilaya ya Musoma vijijini mkoani Mara wanategemea kuanza kunufaika na mradi wa umeme jua vijijini ambao utawasaidia kujikwamua na matumizi ya mafuta ya taa. Mradi huo unaojulikana [Read More]

Uwepo mgao wa umeme, Waziri wa Nishati na Madini akanusha.

Uwepo mgao wa umeme, Waziri wa Nishati na Madini akanusha.

Na Ivona Kamuntu, Mwanza.  Waziri wa Nishati na Madini Mheshimiwa William Ngeleja amekanusha kuwa hakuna mgao wa umeme sehemu yoyote ile hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa kutokana na kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo hapa nchini hali inayotafsiriwa na wengi kuwa [Read More]

Sekta ya Utalii Mwanza, Miundombinu na uwanja wa ndege vikwazo

Sekta ya Utalii Mwanza,  Miundombinu na uwanja wa ndege vikwazo

Na Rogers William,Mwanza.  Tatizo la miundombinu na ukosefu wa uwanja wa ndege wa kisasa katika jiji la Mwanza linachangia kusuasua kwa ukuaji wa sekta ya utalii jiji hapa na mikoa ya jirani. Wakati changamoto hiyo ikiendelea kuathiri sekta ya utalii, ukosefu wa Maafisa [Read More]

Kilimo Kwanza, Tanzania bado inazalisha kidogo.

Kilimo Kwanza, Tanzania bado inazalisha kidogo.

Na Joseph Mpangala,                           Dar es Salaam.  Serikali imekiri kuwa badoTanzania inazalisha kiasi kidogo cha mazao ya biashara hali inayosababisha kushindwa kufikia malengo ya kiuchumi yanayotakiwa. Kauli hiyo imetolewa na Waziri [Read More]

Kukuza mitaji, TBL yatoa 200 kwa wajasilimali.

Kukuza mitaji, TBL yatoa 200 kwa wajasilimali.

Na Neema Ndetto,                   Dar es Salaam.  Kampuni ya Bia Tanzania TBL imetoa shilingi milioni 200 kwa Wajasiriamali wadogo na wakati ili kukuza mitajiyaoikiwa ni hatua ya kuinua maendeleo ya sekta hiyo nchini. TBL imetoa pesa hizo kwa [Read More]

Mtikisiko wa uchumi, Benki ya dunia yakanusha kwa Afrika.

Mtikisiko wa uchumi, Benki ya dunia yakanusha kwa Afrika.

Na Stumai George,                                          Dar es Salaam.  Nchi za Afrika zimeonywa kuwa hazipaswi kubweteka na dhana ya kupanda kwa uchumi katika kipindi ambacho Mataifa ya Magharibi yameyumba kutokana na mtikisiko [Read More]

Madai ya wanafunzi IMTU, hatma kujulikana February 17.

Madai ya wanafunzi IMTU, hatma kujulikana February 17.

Na Joyce Mwakalinga,                                     Dar es Salaam. WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Sayansi na Tiba, IMTU cha jijiniDar es Salaamwanatarajia kufahamu hatma ya madaiyaoFebruari 17 kutoka Wizara ya Elimu na [Read More]

Matumizi fedha za serikali, Waziri awataka Watumishi kuwa waaminifu.

Matumizi fedha za serikali, Waziri awataka Watumishi kuwa waaminifu.

Na Oliver Motto, Iringa. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mheshimiwa Aggrey Mwanry amewataka watumishi wote nchini kuwa waaminifu katika matumizi ya fedha za serikali. Pia aliwaagiza Madiwani kuwataja watumishi [Read More]

 Page 1 of 9  1  2  3  4  5 » ...  Last » 

Latest Topics

Waziri Dk. Mary Nagu akutana na ujumbe wa wawakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka China.

Waziri Dk. Mary Nagu akutana na ujumbe wa wawakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka China.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akisalimiana na aliyekuwa Mwakilishi Mkuu wa [Read More]

WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA

WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakimshukuru Mtembi Majebele baada ya kupewa heshimi ya Kuwa [Read More]

DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI

DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi jengo la [Read More]

UZINDUZI WA MAULID KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR

UZINDUZI WA MAULID KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar Dk, Ali Mohamed Shein akisalimiana na Masheikh na waheshimiwa mbalimbali alipohudhuria katika Kisiwa [Read More]

Gauck kuwa rais mpya wa Ujerumani

Gauck kuwa rais mpya wa Ujerumani

Viongozi wa kisiasa nchini Ujerumani wamemchaguwa mwanaharakati wa haki za binadamu Joachim Gauck kuwa mgombea wao wa [Read More]

Recent Comments

Aryanna Hallenbeck had this to say

Enjoyed every bit of your blog article.Much thanks again. Read the post

Optatus Malume had this to say

Wakati Kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma za jamii inachunguza watendaji wa wizara ya afya isiishie hapo waende hadi Read the post

Martine Emmanuel Mbogo had this to say

Star tv mnayo nafasi kubwa sana ya kusaidia kupatikana kwa katiba nzuri itakayowaletea manufaa watanzania wote kwa Read the post

Ahmed Haji had this to say

Tuanze na Solomon Kwanza tunashukuru sana kwa pongezi zako, nasi tunakuahidi hatutobweteka na tutaendelea kutoa huduma Read the post

bryan john had this to say

Binafsi nawapongezen sana madaktari wote mlokuwa mkiendesha mgomo kwa kurejea kazin lakin nina mashaka na nyie kwann Read the post

Popular Topics