Friday May 18th 2012

‘Habari za Biashara na Uchumi’ Archives

Vikwazo vya biashara, Tanzania na Mauritius kuandaa rasimu ya makubaliano.

Vikwazo vya biashara, Tanzania na Mauritius kuandaa rasimu ya makubaliano.

Na Enos Masanja,                 Dar es Salaam. SERIKALI za Tanzania na Mauritius zimeanza mchakato wa kuandaa rasimu ya makubaliano ya Kisheria yatayoondoa vikwazo kwa wadau wa sekta binafsi kwenye nchi hizo katika uendeshaji wa shughuli za kiuchumi.   [Read More]

Kupanda umeme, MWAUWASA yapandisha akra za maji.

Kupanda umeme, MWAUWASA yapandisha akra za maji.

Na Abdalla Tilata Kufuatia Shirika la umeme nchini Tanesco kupandisha umeme kwa asilimia 40 nukta mbili tisa,Mamlaka ya maji safi na maji taka Jijini Mwanza Mwauwasa imeamua kupandisha ankra za maji kwa lengo la kumudu ongezeko la bei ya umeme. Kupandishwa kwa akra za maji [Read More]

TBL yatoa Sh. Mil. 51.6 kusaidia Miradi Morogoro.

TBL yatoa Sh. Mil. 51.6 kusaidia Miradi Morogoro.

Na Nickson Mkilanya, Morogoro.  Kampuni ya Bia Tanzania TBL imetoa msaada wa shilingi milioni 51.6 kusaidia miradi ya maji katika hospitali ya Mkoa wa Morogoro na shule 12 za sekondari za kata za Manispaa ya Morogoro. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi misaada hiyo kwa [Read More]

Zahanati Kijiji cha Ilindi Bahi kupata umeme wa upepo.

Zahanati Kijiji cha Ilindi Bahi kupata umeme wa upepo.

Na Fatma Gaffus, Dodoma.  Zahanati ya Kijiji cha Ilindi wilayani Bahi itaondokana na tatizo la umeme baada ya kufungiwa mtambo wa Umeme wa Upepo. Mtambo huo ambao umegharimu Dola za kimarekani 4,000   sawa na shilingi za Kitanzania milioni 600 ni msaada uliotekelezwa na [Read More]

Makokolo yateketezwa kwa moto Kilombero.

Makokolo yateketezwa kwa moto Kilombero.

Na Kasilida Mgeni, Morogoro.  Jumla ya dhana haramu 610 yakiwemo Makokolo 54 na Myavu mbalimbali 556 zenye thamani ya shilingi milioni 25.7 zilizokuwa zikitumika katika uvuvi haramu kwenye mto Kilombero zimekamatwa na kuteketezwa kwa moto ikiwa ni hatua ya kudhibiti uvuvi [Read More]

Udanganyifu katika ngozi, Wizara ya Mifugo yatoa tahadhari.

Udanganyifu katika ngozi, Wizara ya Mifugo yatoa tahadhari.

Na Nickson Mkilanya, Morogoro.  Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imetishia kupiga marufuku uuzwaji wa ngozi nje ya nchi endapo itabaini kuendelea kufanyika kwa udanganyifu ukiwemo wa kukwepa ulipaji kodi wakati wa kusafirisha bidhaa hizo kwenda nje ya nchi kupitia [Read More]

Nyavu haramu 1,463 zakamatwa Musoma

Nyavu  haramu 1,463 zakamatwa Musoma

Na Dick Mohamed, Mara.  Kikosi cha Doria na Udhibiti  Uvuvi haramu katika Ziwa Viktoria  mkoani MARA kimekamata nyavu  haramu 1,463 kwenye ghala la Mfanyabiashara mmoja wa mjini Musoma zilizokuwa zikitayarishwa kuingizwa sokoni ili kuuzwa kwa wavuvi. Afisa Mfawidhi, [Read More]

Mikopo isiyokuwa na riba, Wanawake 120 Simanjiro wanufaika.

Mikopo isiyokuwa na riba, Wanawake 120  Simanjiro wanufaika.

Na Enos Masanja, Mererani.  Wanawake 120 wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara ambao wameanzisha miradi ya ujasiriamali wameeleza kupata mafanikio makubwa baada ya kupatiwa mikopo isiyo na riba kutoka kampuni ya simu za mkoani Vodacom. Wanawake hao walioanzisha shughuli za [Read More]

Wadau wa Kilimo Afrika Mashariki wajadili kuliboresha zao viazi vya njano.

Wadau wa Kilimo Afrika Mashariki wajadili kuliboresha zao viazi vya njano.

Na Ivona Kamuntu, Mwanza.  Wadau wa kilimo kutoka nchi za Afrika Mashariki wamekutana kujadili juu ya njia bora wanazoweza kutumia kuinua kilimo cha zao la viazi lengo likiwa ni kuwawezesha wakulima kujiingizia kipato kupitia zaohilo. Zao la viazi limeshamiri kwa kiasi [Read More]

Kukuza uchumi, Mkoa wa Shinyanga watakiwa kuanzisha viwanda.

Kukuza uchumi, Mkoa wa Shinyanga watakiwa kuanzisha viwanda.

Na Shaban Alley, Shinyanga. Waziri Mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda ameuagiza uongozi wa mkoa wa Mkoani Shinyanga kuanzisha viwanda katika kipindi cha miaka minne iliyobaki katika kipindi cha uongozi wa awamu ya nne kwa lengo la kukuza uchumi katika mkoa huu.   Mheshimiwa [Read More]

 Page 9 of 19  « First  ... « 7  8  9  10  11 » ...  Last » 

Latest Topics

WWF yatoa ripoti inayoonesha madhara ya shughuli za binadamu.

WWF yatoa ripoti inayoonesha madhara ya shughuli za binadamu.

Na James Range, Dar es salaam.                          Shirika la kimataifa lisilo la [Read More]

Hukumu kesi ya Prof. Mahalu kutolewa Julai 11 mwaka huu.

Hukumu kesi ya Prof. Mahalu kutolewa Julai 11 mwaka huu.

Na Mariam Mogella,                                                Dar Es [Read More]

TACAIDS yashauriwa kutenga fedha za miradi kwa waathirika.

TACAIDS yashauriwa kutenga fedha za miradi kwa waathirika.

Na Grace Semfuko,                                                    [Read More]

Tishio la kumuua Mbunge, Diwani wa Nduli Iringa Mahakamani.

Tishio la kumuua Mbunge, Diwani wa Nduli Iringa Mahakamani.

Na Mawazo Malembeka, Iringa. Diwani wa Kata ya Nduli Manispaa ya Iringa Idd Rashid Chonanga amepandishwa katika [Read More]

Recent Comments

Bonylugola had this to say

Vipindi Vyenu mnafanya vizuri, cha msingi Chapeni kazi kwa bidii na muwe wabunifu zaidi. Naombeni mnitumie ratiba ya Read the post

Elias had this to say

Maon yangu,naomba muwe mnatuletea email news,katika email box za wasomaji Read the post

francis clement had this to say

Hii inaonyesha kukuwa kwa demokorasia nchini mwetu. Viongozi walio pewa lidhaa ya kulitumikia taifa eitha na mtu au Read the post

francis clement had this to say

hii inaonyesha kukua kwa demokorasia katika nchi yetu, ukweli utabaki palele, mtanzania wa sasa, sio yule wa karne Read the post

MSEMO JOHN had this to say

I LIKE WATCHING FUTUHI BUT WHERE IS KAFUKU AND HIS FELLOWS? THEY HAVE JUST DISAPPEARED! PLEASE LET THEM BACK. Read the post

Popular Topics