‘Habari za Kimataifa’ Archives
Gauck kuwa rais mpya wa Ujerumani
Viongozi wa kisiasa nchini Ujerumani wamemchaguwa mwanaharakati wa haki za binadamu Joachim Gauck kuwa mgombea wao wa pamoja wa wadhifa wa Urais ambao ni wa heshima nchini Ujerumani. Kansela Angela Merkel amesifu kujizatiti kwa Gauck katika maadili ya uhuru na uwajibikaji. [Read More]
Leo ni siku ya uchaguzi wa urais nchini Yemen.
Raia wa Yemen wanaamkia katika vituo vya kupigia kura kumchagua rais wao mpya, leo Jumanne. Wafuasi wa Abd Mansour Hadi katika kampeni Lakini kila mtu anajua kuwa atakayeshinda ni makamu wa Rais Abd Rabbu Mansour Hadi. Yeye ni mgombea wa pekee. Hana mpinzani. Uchaguzi huo [Read More]
Jeshi la Nigeria lawauwa Boko Haram.
Msemaji wa jeshi la Nigeria amesema kwamba wanajeshi watatu walijeruhiwa katika makabiliano hayo ya risasi na kundi la Boko Haram. Walinda usalama katika mji wa Maiduguri. Hata hivyo alikanusha kuwa kuna raia yeyote aliyeuwawa katika kisa hicho. Lakini wenye maduka katika [Read More]
Libya sasa yashindwa kudhibiti wapiganaji
Shirika la kutetea haki za binadamu, Amnesty International linasema visa vya mateso, mauaji na watu kuzuiliwa bila kufunguliwa mashataka vimekithiri nchini Libya. Shirika hilo linasema ukiukaji huo unatekelezwa na makundi ya wapiganji waliojihami ambao walimng’oa [Read More]
Waziri avamia wapenzi wa jinsia moja.
Waziri mmoja nchini Uganda amevamia warsha ya wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja na kujaribu kumkamata mwandaaji wa shughuli hiyo, limesema gazeti moja la huko na pia kundi la wanaharakati wa haki za binaadam waishio Uingereza. Waziri wa Maadili na Hadhi Simon Lokodo [Read More]
China yaahidi kuusadia Umoja wa Ulaya kukabiliana na madeni
China imesema iko tayari kuusaidia Umoja wa Ulaya kukabiliana na tatizo la madeni katika kanda inayotumia sarafu ya Euro. Katika mkutano kati ya China na Umoja wa Ulaya unaoendelea mjini Beijing, waziri mkuu wa China, Wen Jiabao, amemwambia rais wa umoja wa Ulaya, Herman [Read More]
Mji wa Homs washambuliwa kwa siku ya 10 mfululizo.
Vikosi vya Syria vimeushambulia kwa makombora mji wa Homs kwa siku ya kumi mfululizo na kuwaua watu takriban 30 katika kitongoji cha Baba Amr pekee. Mkurugenzi mtendaji wa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Human Rights Watch, Kenneth Roth, anasema machafuko [Read More]
Mtuhumiwa wa mauaji ya Bali afikishwa mahakamani.
Kesi ya mtu anayetuhumiwa kuhusika katika shambulio la kigaidi kwenye klabu ya usiku mjini Bali, Indonesia mwaka 2002, imeanza mjini Jakarta chini ya ulinzi mkali. Mtu huyo, Umar Patek anashutumiwa kutengeneza mabomu yaliyotumiwa kufanya shambulio hilo, ambao liliua watu [Read More]
Westerwelle akaribisha azimio la Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kwa Syria.
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani, Guido Westerwelle ameuunga mkono uamuzi ulioipitishwa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu juu ya hali inayoendelea nchini Syria. Msemaji wa waziri Westerwelle, amesema hatua iliyochukuliwa na jumuiya hiyo kuongoza juhudi za kutafuta [Read More]
Bunge la Ugiriki lapitisha mpango wa kubana matumizi.
Bunge la Ugiriki limepiga kura kuidhinisha mpango wa serikali wa kubana matumizi, na hivyo kufungua njia kwa mkopo mpya wa mabilioni ya euro kutoka Umoja wa Ulaya na wakopeshaji wengine. Baada ya mjadala mkali, mpango huo uliungwa mkono na wabunge 199 kati ya 278 waliopiga [Read More]
