‘Habari Kitaifa’ Archives
Mgogoro CUF, Wananchi waendelea kujivua uanachama
Na Beatrice Ojjiki, Dar es Salaam. Chama cha wananchi CUF kimeendelea kupoteza wanachama wake baada ya baadhi ya viongozi wa baraza kuu la taifa kutangaza kujivua uanachama wa chama hicho. Viongozi hao ni [Read More]
Wananchi walalamikia viongozi Gairo.
Na Kasilda Mlimila, Morogoro. Wananchi wa Gairo wilayani Kilosa, mkoa wa Morogoro wanakabiliwa na kero mbalimbali zikiwemo viongozi wao kutowasomea taarifa za mapato na matumizi, kutoshirikishwa katika uibuaji wa miradi ya maendeleo, migogoro ya ardhi na kuchangishwa [Read More]
Ajali ya moto, Kiwanda cha samani za ndani chateketea Dar.
Na Faraji Mwagowa, Dar Es Salaam. MOTO mkubwa umezuka na kuteketeza kiwanda cha samani za ndani na baadhi ya maduka pamoja na kuharibu vibaya nyumba kadhaa zinazozunguka eneohilokwenye mtaa wa Manyanya, wilaya ya kinondoni Jijini Dar ES Salaam. Kwa mujibu wa [Read More]
Chakula cha ziada, Hatua za dharura za muda mrefu zahitajika
Na Joseph Mpangala, Dar es Salaam. Mkutano wa Mawaziri wa Kilimo kutoka nchi saba za Afrika umemalizika jijini Dar es Salaam ambapo masuala mbalimbali ya kuhakikisha wanapiga hatua katika kuongeza [Read More]
Maeneo ya kimila ya kimasai, Ukuaji mji wa Monduli hatarini kuyapoteza.
Na Ramadhan Mvungi, Arusha. Kasi ya kupanuka kwa Mji wa Monduli mkoani Arusha imetishia kutoweka kwa maeneo ya kufanyia shughuli za kimila kwa wenyeji wa kabila la Kimasai. Kutokana na hali hiyo, jopo la Viongozi wa kabilahilowameanza mchakato wa kuyarejesha maeneo hayo. [Read More]
Uhaba wa ardhi, NHC Kilimanjaro yaaswa kujenga nyumba za ghorofa.
Na Enos Masanja, Kilimanjaro. Shirika la nyumba la taifa NHC mkoani Kilimanjaro limeaswa kubomoa nyumba zake za zamani na kujenga nyumba za ghorofa zitakazoendana na mji wa Moshi na siyo kuendelea kukarabati nyumba hizokamamoja ya mkakati wa kukabiliana na uhaba wa ardhi [Read More]
Umeme maporomoko ya rusumo sasa Tanzania, Rwanda, Burundi zasaini makubaliano.
Na Ivona Kamuntu, Mwanza. Mawaziri wa nchi za Tanzania,RwandanaBurundiwametiliana saini ya makubaliano ya utekelezwaji wa mradi wa uzalishaji wa umeme kwenye maporomoko ya maji ya Rusumo. Mradi huo ambao unatarajiwa kuanza mwakani utazalisha kati ya megawati 60 na 90 [Read More]
Tuhuma za ufisadi, Wanawake watajwa kuwa hawajawahi kuhusika.
Na Wilson Elisha, Mwanza. Wanawake nchini wametajwa kuwa hawajawahi kuhusika katika tuhuma za ufisadi hali inayoonyesha kuwa ni viongozi waadilifu wanaomcha Mungu na wenye uwezo mkubwa wa kulitumikia taifa kwa uadilifu na uaminifu. Askofu wa Jimbo la Musoma mkoani Mara [Read More]
Ubunge, Udiwani na Viti Maalum sasa kuwa na ukomo wa vipindi viwili.
Na Fatma Gaffus, Dodoma. Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa NEC imeelekeza nafasi za Ubunge, Udiwani na uwakilishi wa Viti Maalum kuwa na ukomo wa vipindi viwili baada ya hapo waende wakagombee majimboni. Akizungumza katika kikao cha Baraza Kuu la Jumuiya ya [Read More]
Baraza la ushauri la wazee, CCM yalenga kuwapunguzia majukumu viongozi.
Na Immaculate Kilulya, Dar es Salaam. CHAMA Cha Mapinduzi CCM kimesema hatua yake ya kuunda Baraza la Ushauri la Wazee haina lengo la kuwatenga viongozi wake Wastaafu kama inavyopotoshwa bali ina lengo la kuwapunguzia majukumu makubwa ya shughuli za kila siku za chama [Read More]
