‘Habari Kitaifa’ Archives
Tuhuma za rushwa, Rais Kikwete alionya Jeshi la Polisi.
Na Enos Masanja, Moshi. Rais Jakaya Kikwete amelinyoshea kidole Jeshi la Polisi hapa nchini kuwa ni miongoni mwa Taasisi za umma inayoongoza kwa rushwa. Rais Kikwete ametoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka kwa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi [Read More]
Kukabili msongamano, Serikali kutumia usafiri wa majini na reli.
Na Neema Ndetto, Dar es Salaam. Serikali inaangalia uwezekano wa kutumia usafiri wa majini na reli kwenye baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam na mikoa ya jirani ili kukabiliana na tatizo la msongamano wa magari barabarani. Katika kufanikisha [Read More]
Kufanikisha kampeni Arumeru, CHADEMA kuchangisha fedha wanachama.
Na Joseph Mpangala, Dar es Salaam. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimetangaza mkakati wa kuchangisha fedha kutoka kwa wanchama wake ili kufanikisha kampeni zake kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha. Uchaguzi huo [Read More]
Ilani ya uchaguzi 2010, CCM kuwachukulia hatua wanaokwamisha.
Na Faraji Mwagowa, Dar es Salaam. CHAMA Cha Mapinduzi CCM kimetangaza kuwachukulia hatua watendaji wake wanaokwamisha juhudi za chama hicho katika kutekeleza Ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2010. CCM ilitoa msimamo huo kupitia kwa Katibu wake wa [Read More]
CUF yatetea uamuzi wake wa kuwatimua akina Hamad Rashid.
Na Faraji Mwagowa, Dar Es Salaam. Chama cha Wananchi CUF kimedai kuwa uamuzi wake wa kuwavua uanachama Mbunge wa Wawi Hamad Rashid na wenzake watatu umesaidia kukiimarisha chama hicho na siyo kukibomoa kama inavyoelezwa na baadhi ya watu. CUF ilitoa kauli hiyo wakati wimbi [Read More]
Watu sita wafa ajalini Kibaha Pwani.
Na Harold Shemsanga, Kibaha Pwani. Watu sita wamekufa na wengine 46 kujeruhiwa kwa ajali ya basi walilokuwa wakisafilia kugongana uso kwa uso katika eneo la Kwambonde wilayani Kibaha mkoani Pwani. Ajali hiyo iliyahusisha mabasi mawili aina ya Coaster Mini Bus yenye namba [Read More]
Njaa yaikabili halmashauri ya Wilaya Iringa.
Na Oliver Motto, Iringa. Zaidi ya watu elfu 72 wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wapo hatarini kukumbwa na baa la njaa kutokana na mazao yao kukauka kwa sababu ya mvua kushindwa kunyesha kwa kiwango kinachohitajika. [Read More]
Polisi Mwanza yashikilia watu watano
Na Respicius Kaiza, Mwanza. Polisi mkoani Mwanza inawashikilia watu watano kwa tuhuma za ujambazi. Mmoja kati ya watuhumiwa hao amekutwa akiwa na silaha aina ya SMG na risasi 53. Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza Kamishna msaidizi Liberatus Barlow amesema watuhumiwa hao [Read More]
Sioyi Sumari aibuka mshindi kura za maoni CCM
Na Raymond Nyamwihula, Mwanza. Hatimaye Sioyi Sumari ameibuka mshindi katika marudio ya kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM ya kumpata Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama hicho. Katika uchaguzi huo Sioyi Sumari ameibuka Mshindi kwa Kura [Read More]
Rais Kikwete apokea ujumbe wa Wanaharakati
Na James Range, Dar es Salaam. Katika hatua nyingine, Rais Jakaya Kikwete amepokea ujumbe wa Wanaharakati wa masuala ya Kilimo kuhusu kuimarisha sekta hiyo barani Afrika ili kukabiliana na upungufu wa [Read More]
