Friday May 18th 2012

‘Habari Kitaifa’ Archives

Serikali kuendelea kutoa ushirikiano na ofisi ya CAG.

Serikali kuendelea kutoa ushirikiano na ofisi ya CAG.

Na Ramadhan Mvungi, Arusha. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili iweze kutekeleza majukumu yake kwa uhuru bila kuingiliwa. [Read More]

Basi la Mohamed Trans lapinduka Kolandoto

Basi la Mohamed Trans lapinduka Kolandoto

Na Shaaban Alley, Shinyanga. Basi la Kampuni ya Mohamed Trans lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Dar es salaam limepinduka katika eneo la Kolandoto Manispaa ya Shinyanga majira ya saa 2 asubuhi ya leo. Star Tv imefika katika eneo la tukio na kushuhudia basihilolikiwa [Read More]

Dhana ya kujivua gamba, Mwenyekiti UVCCM Arusha ajiuzulu.

Dhana ya kujivua gamba, Mwenyekiti UVCCM Arusha ajiuzulu.

Na Twaha Kivale, Dodoma. Kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha James Ole Milya, Katibu wa UVCCM taifa Martin Shegela amesema hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa maamuzi ya Halmashauri kuu ya Chama cha [Read More]

Bima ya Afya wahimizwa uzalendo, uadilifu.

Bima ya Afya wahimizwa uzalendo, uadilifu.

Na Ahmed Makongo, Musoma. Watoa huduma wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wamehimizwa kutumia fursa hiyo kwa uzalendo na uadilifu mkubwa pindi wanapohudumia wananchi. Mjumbe wa Bodi ya Mfuko huo Bwana Gratian Mkoba amesema uzalendo na uadilifu wa watoa huduma utawezesha [Read More]

Watanzania waaswa kuwekeza katika elimu bora.

Watanzania waaswa kuwekeza katika elimu bora.

Na Waandishi wetu, Mwanza. Watanzania wameaswa kuwekeza katika elimu bora ili kuleta maendeleo kwenye jamii na taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa jijini Mwanza na Makamu Mkuu wa Chuo chaMountMerucha jijini Arusha Profesa Harrison Olang wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la [Read More]

Viongozi wa Vijiji wahimizwa mipango madhubuti.

Viongozi wa Vijiji wahimizwa mipango madhubuti.

Na Emmanuel Michael, Star TV-Singida. Viongozi wa Vijiji wilayani Singida wametakiwa kuweka mipango madhubuti itakayowezesha utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kutumia rasilimali zilizopo kwenye maeneoyao. Hatua hiyo itasaidia kuhakikisha kuwa miradi yote inayoibuliwa [Read More]

Ukosefu wa madawati na madarasa, Baadhi ya Wanafunzi Mbeya wakaa chini.

Ukosefu wa madawati na madarasa, Baadhi ya Wanafunzi Mbeya wakaa chini.

Na Fredy Bakalemwa, Mbeya. Wanafunzi wengi katika shule za msingi 81 zilizomo jijini Mbeya wanakaa chini kutokana na ukosefu wa madawati zaidi ya 6000. Aidha kuna uhaba wa vyumba vya madarasa zaidi ya 400. Hali hiyo inachangia mazingira magumu ya utoaji elimu huku shule [Read More]

Serikali yashauriwa kutoa elimu ya katiba kwa wananchi.

Serikali yashauriwa kutoa elimu ya katiba kwa wananchi.

Na Joseph Mpangala, Dar es Salaam. Serikali imeshauriwa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu utoaji wa maoni katika mchakato wa mabadiliko ya Katiba ili kuiwezesha Tume ya Katiba kufanya kazi yake kwa ufanisi. Tume hiyo iliyotangazwa na Rais Jakaya Kikwete Aprili 6 na wajumbe [Read More]

Mitambo ya Analojia kuzimwa Desemba 31.

Mitambo ya Analojia kuzimwa Desemba 31.

Na James Range, Dodoma. Serikali imeendelea kusisitiza kuwa itazima mitambo yote ya Analojia ifikapo saa sita usiku ya Desemba 31 mwaka huukamamkataba wa kufanya hivyo unavyozitaka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashaki kujiunga na masafa ya Dijitali ifikapo mwaka 2013. Kwa sasa [Read More]

Fursa za ajira, Wenye ulemavu wa ngozi walalamikia ubaguzi.

Fursa za ajira, Wenye ulemavu wa ngozi walalamikia ubaguzi.

Na Immaculate Kilulya, Dar es Salaam. Jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino imesema bado inakabiliwa na changamoto ya ubaguzi katika utoaji wa ajira nchini kutokana na uelewa mdogo walionao baadhi ya watendaji wa mamlaka husika. Ubaguzi huo unaelezwa kuwa ni kikwazo [Read More]

 Page 5 of 26  « First  ... « 3  4  5  6  7 » ...  Last » 

Latest Topics

WWF yatoa ripoti inayoonesha madhara ya shughuli za binadamu.

WWF yatoa ripoti inayoonesha madhara ya shughuli za binadamu.

Na James Range, Dar es salaam.                          Shirika la kimataifa lisilo la [Read More]

Hukumu kesi ya Prof. Mahalu kutolewa Julai 11 mwaka huu.

Hukumu kesi ya Prof. Mahalu kutolewa Julai 11 mwaka huu.

Na Mariam Mogella,                                                Dar Es [Read More]

TACAIDS yashauriwa kutenga fedha za miradi kwa waathirika.

TACAIDS yashauriwa kutenga fedha za miradi kwa waathirika.

Na Grace Semfuko,                                                    [Read More]

Tishio la kumuua Mbunge, Diwani wa Nduli Iringa Mahakamani.

Tishio la kumuua Mbunge, Diwani wa Nduli Iringa Mahakamani.

Na Mawazo Malembeka, Iringa. Diwani wa Kata ya Nduli Manispaa ya Iringa Idd Rashid Chonanga amepandishwa katika [Read More]

Recent Comments

Bonylugola had this to say

Vipindi Vyenu mnafanya vizuri, cha msingi Chapeni kazi kwa bidii na muwe wabunifu zaidi. Naombeni mnitumie ratiba ya Read the post

Elias had this to say

Maon yangu,naomba muwe mnatuletea email news,katika email box za wasomaji Read the post

francis clement had this to say

Hii inaonyesha kukuwa kwa demokorasia nchini mwetu. Viongozi walio pewa lidhaa ya kulitumikia taifa eitha na mtu au Read the post

francis clement had this to say

hii inaonyesha kukua kwa demokorasia katika nchi yetu, ukweli utabaki palele, mtanzania wa sasa, sio yule wa karne Read the post

MSEMO JOHN had this to say

I LIKE WATCHING FUTUHI BUT WHERE IS KAFUKU AND HIS FELLOWS? THEY HAVE JUST DISAPPEARED! PLEASE LET THEM BACK. Read the post

Popular Topics