‘Habari za Michezo na Burudani’ Archives
Chelsea yatinga fainali klabu bingwa Ulaya.
Klabu ya soka ya Chelsea ya Uingereza imefuzu kuingia fainali ya klabu bingwa barani Ulaya, licha ya nahodha John Terry kuonyeshwa kadi nyekundu. Mchezo wa Jumanne ulikwisha kwa sare ya 2-2, lakini Chelsea ikapata ushindi ikiwa na jumla ya magoli 3-2. Timu ya The Blues [Read More]
Robin van Persie mchezaji bora wa mwaka.
Robin van Persie amechaguliwa mchezaji bora wa mwaka katika tuzo inayotolewa na Chama cha Wacheza Kandanda ya Kulipwa- PFA. Robin van Persie awa mchezaji bora wa mwaka Mshambuliaji huyo wa Arsenal mwenye umri wa miakan 28 ameshapachika mabao mara 38 msimu huu, yakiwemo [Read More]
Marriner kuchezesha pambano Manchester.
Andre Marriner ametajwa atakuwa mwamuzi wa pambano la kukata na shoka kati ya Manchester City na Manchester United tarehe 30 mwezi huu wa Aprili. Andre Marriner kuchezesha mtanange wa Manchester Marriner, mwenye umri wa miaka 41, alichezesha mechi kati ya Manchester United [Read More]
Fabrice Muamba aondoka Hospitalini.
Mwanasoka wa Uingereza ,Fabrice Muamba, ambaye nusura afe baada ya moyo wake kusimama ameruhusiwa kwenda nyumbani. Muamba amekuwa akipokea matibabu katika hospitali ya moyo mjini London. Kiungo huyo wa Bolton Wanderers alianguka uwanjani wakati klabu hiyo ikicheza na [Read More]
Arsenal yanyolewa nyumbani.
Wigan ilithibitisha kuwa walipoifunga Manchester United haikuwa ajali. Jumatatu usiku Arsenal ilipigwa nyumbani 2-1 na Wigan ambayo inapigania kubakia ligi kuu ya Premier. Kwa ushindi huo sasa Wigana inashikilia nafasi ya 16 katika jedwali la ligi ya Uingereza. Arsenal [Read More]
Maximo ashauri jinsi ya kupata wachezaji bora wa timu ya taifa.
Na Anna Nkinda – Sao Paul, Brazil 18/04/2012 Vilabu vya soka nchini vimeshauriwa kuwa na timu nzuri kuanzia ngazi ya watoto wenye umri wa miaka nane, vijana na kuendelea ili kupata timu bora ya Taifa. Wito huo umetolewa na aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa [Read More]
Olimpiki 2012 London, Senegal kupambana na Oman.
Senegal itapambana na Oman tarehe 23 Aprili katika kujaribu kujipenyeza katika nafasi ya mwisho iliyosalia kwa upande wa michuano ya soka ya wanaume katika mashindano ya mwaka 2012 ya Olimpiki mjini London. Oman, ambaye kwa hivi sasa iko chini ya mkufunzi wa zamani wa timu [Read More]
Sir Alex Ferguson: Huwezi kupendelewa msimu mzima.
Meneja wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, amesema hata ikiwa unamtegemea mwamuzi uwanjani kukupendelea ili kufanya vyema, hayo ni mambo ambayo hayawezi kudumu msimu mzima na kukiwezesha klabu kupata ushindi. Klabu ya Fulham ilimtaka mwamuzi kutoa nafasi ya mkwaju wa [Read More]
Chelsea yanusa nusu fainali, Real Madrid yashinda 3-0 UEFA.
Bao la Salomon Kalou iliisaidia timu ya Chelsea kuingiza mguu mmoja katika hatua ya nusu fainali ya kombe la mabinwa bara ulaya baada ya kuwachapa wenyeji wao Benfica ya Ureno. Mwamba huyo wa Ivory Coast alifunga bao hilo la pekee katika daikia ya 75 baada ya kupokea pasi [Read More]
Cristiano Ronaldo awa mchezaji wa kwanza kufunga magoli 100.
Habari hii imetafsiriwa na Hillal Riyami Mshambuliaji nyota mahiri Cristiano Dos Santos Ronaldo wa Real De Mardid amekuwa mchezaji wa kwanza kwa kasi ya kutikisa nyavu mara 100 katika historia ya ligi kuu ya Hispania La Liga. Ronaldo aliyeiwezsha Real Madrid kuibuka na [Read More]
