Wednesday February 22nd 2012

Contact Us

STARTV Head Office
P.O. BOX 1732,
Post Road.
Mwanza, Tanzania
Tel:+255-28-2503262
Fax:+255-28-2500713 /2561890

E-mail: marketing@saharamedia.co.tz

26 Comments for “Contact Us”

  • Juma says:

    Nataka kusem na kerwa na jinsi mnavyo kua mkirudia vipindi kwni hamoni ina udhi kama saa hii mnaleta riddim up yenye merudia zaidi ya mara sita kwani hana vipindi napenda riddim up but mna rudia hadi ina udhi na tatizo la kurudia matangazo kw zaidi ya nusu saa bila kuleta chochote tafuteni vipindi zaidi mwche kurudia rudia vipindi na taarifa yenu ya habari haina information ya kutosha mnachukua mdaa mrefu na hamna chochote tafathali jirekebisheni

  • Masinde says:

    Habari Star Tv!
    Mbona hamuonyeshi tena tamthiliya ya Destiny Heart?Mnatupa usumbufu mkubwa sisi wapenzi wa tamthiliya hiyo.Halafu hamtoi hata sababu.Naomba kuuliza kuwa mtairejesha lini?

    Wako Mtamazaji.

  • Elisha ayoub says:

    jamani ivi mbona mnatusumbua kwani tatizo ni nini? au ndo mpango wenu huo maana mlianza vizuri 2 katika kuonyesha tamthilia hii ya denstiny heart….alaf mka stop bila kutupa hata taarifa…sa cjui tuwaeleweje? yani tunashindwa jinsi ya kuwaelewa kabisa yani

  • Elisha ayoub says:

    tunawaomba jamani mtuendelezeee

  • majoni says:

    mnatuboa wapenzi wa tamthilia, kwanini hamuombi radhi kwa kutoonyesha? kama hamkutaka kutuonyesha kwa nini mlianza kuonyesha? mnatusumbua na hatutaipenda tena tv yenu cz hamjielewi hata nyie wahusika, mnaboa,

    mkereketwa

  • Salma Salum. says:

    Hi, Star Tv!
    Jaman hamjawah kunikera kama mnavyonikera sasa kwa kutoendeleza tamthiliya ya Destined Hearts. Tatizo ni nini jaman? Mnatukwaza watazamaji wenu au mmetuchoka?
    Halafu ile label/log/trade mark yenu ya rangi ya silver na green kwa nin mliibadili? Ilikuwa nzuri kuliko hyo ya sasa.
    Kingine, kwa nin mnapenda kurudia rudia vipind? Kama hamuwez kuandaa vipindi kwa masaa 24/7 tafuteni watu au makampuni yaandae vipind kisha mvinunue na kuvirusha hewan.

  • LAZARO IBAMBASI says:

    JAMANI HATUWAPATI HUKU NYAKATO MWANZA KWENYE MADISHI KUNA TATIZO GANI HUKO STAR TV

  • Aysha says:

    Im staying in mwanza, and realy I appriciate to have such television in my city
    The only thing i would like to comment is you should put more young and beautifull ladies.
    I wish if I can work with you so i can make this television more famous. thanks and all the best

  • Tutty says:

    Jamani imekuwaje ile tamthilia haioneshwi,na hakuna maelezo yoyote .Tafadhali tunapenda tamthlia zenu

  • godwin mtui says:

    Mimi ni mmoja kati ya watu wanaofutilia matangazo yenu ya Radio free Africa pamoja na Star TV, Mkoani Njombe, lakini nasikitika sasa ni miezi 2 Star TV hatuipati kupitia Satelite kwani ndio masafa tunayoyatumia, naomba mtujulishe tatizo.
    Asante…..!

  • kibwana onguso says:

    Mini ni mpenzi wa tamthiliya. Nimetayarisha na kuelekeza vipindi kadha kama Tausi, Tahamaki, Mahoka, Kisulisuli, na Papa Shirandula. Hivi punde nimetengeneza tamthiliya ya “Nyundo Utosini”. Vipindi 13 viko tayari. Naweza kuwapa mvitazame muone kama kuna uwezekano wa kuvipeperusha hewani. Ni vipindi vya kuburudisha sana. Mwasemaje?

  • JOHN says:

    Napenda kuungana na watazamji waliochangia hapo awali. Hiv nyinyi Star tv hamna technician ambao wanongalia matangazo jinsi yanavyorushwa? Kwa sababu mtuboa watazamaji vipindi mnarudiarudia bila sababu za msingi..mfamo vpindi vya Bonga na Star, Dwtv nk. Hiv hata hao wadhamini wenu wanafaidika na nini kwa sababu mdhamini anataka tangazo lake lionekane kwa watu wengi. Sasa nyinyi mnaporudia vipindi watu wanahamisha stesheni. Mi nina mashaka na taaluma na za watangazji wa Star tv au amlipwi pesa inayostahili ndio maana mnafanya kazi kwa kulipua au pengine mnafanya kazi kwa shinikizo la Mmliki wa kituo?

  • PILI says:

    MNACHEMSHA KURUDIA MATANGAZO JAMAN NA PIA KWANN MNACHANGANYA LUGHA,KAMA MKIWA MNAANDIKA KIPINDI KINACHOFUATA KAMA NI HABARI ANDIKA HABARI NA SIO NEWS

  • Ade says:

    Star tv, ni tv station inayopatikana sehemu mbalimbali Tanzania tunawashukuru, lakini jamani wapenzi wa Tamthiliya mnatuumiza sana.. Destined Hearts iliishia sehemu nzuri kweli, jamani tunajua hatulipii lakini please tuendelezeeni halafu tunaomba msituache tena kwenye suspense…

  • Ahmed says:

    Napenda kuwapongeza kwa utaratibu wenu wa vipindi ila naomba kuuliza vipi nitapata ratiba ya vipindi kupitia mtandao.

  • prince says:

    oya mnaboa kama mlikuwa hamtaki kuonyesha tamrhilia msinge ionedha basi mnang’an’gania kuonesha tamthilia wakati ela za kulipia hamna kama amuwezi muache siolazima.na mjibu hizi comment sio mnasishangaa tu kama tunafanya advertisment.

  • prince says:

    oya mnaboa kama mlikuwa hamtaki kuonyesha tamrhilia msinge ionesha basi mnang’an’gania kuonesha tamthilia wakati ela za kulipia hamna kama amuwezi muache siolazima.na mjibu hizi comment sio mnasishangaa tu kama tunafanya advertisment.

  • samira says:

    hi star tv

    tunajua hatukulipini bali sisi ndio wanunuzi na watafutaji wa bidhaa za wadhamini wenu biashara itangwazayo ndio itokayo, wahenga hawajakosea kusema hivo hata vyuo tunajiunga vile vitangwazwayo, but mukituboa tu , tunahamisha steshen hamuoni kama wadhamini wenu watashindwa maana wateja watapungua jirekebisheni, sasa kuna karibu vituo mia vya kuangalia mpaka tunaangalia kituo chenu mujue kuna kitu tunatafuta bac musituudhi halafu mtindo wa kuleta tangazo la tonight halafu tamthilia hewa hatukueleweni basi hata kuomba radhi mnashindwa? nyinyi wa wapi? radhi hamuezi kuomba basi hata maelezo kamili ya kwamba tamthilia mutainza lini munashindwa halafu mambo mengine shoti mufikirie wengine hawajui kusoma kiswahili mutangazie kama habari maalum ok?

    kama vp mujue sis tunafanya kaz kama nyinyi so tukirud home tunakua tumechoka so tunahitaj rest kinachotusubirish siting room ni hio tamthilia so kama hamuiweki bora kutoa taarifa mapema watu tuzime tv tukalale

    mkereketwa star tv

  • Mdau says:

    Tumepokea mapendekezo yenu na sasa nadhani tamthilia imerudi tunahangaika na hayo mengine ya kujirudia kwa vipindi yaishe kabisa, kwa wale ambao hawapati matangazo yetu tumetawanya mafundi katika mikoa mingi kwa ajili ya kurekebisha hali hio na nadhani tutafanikiwa, Nakutakieni Mwaka mpya wenye heri na fanaka. Nikwambieni tu mambo mengi mazuri yanakuja katika mwaka huu wa 2012. Endeleeni kututumia maoni na tunawashukuru sana.

    Ahsanteni

  • onyango migire says:

    Why is your television signal too weak nowadays? Is there anything we can do to improve the signal reception to what it used to be?

    Don’t you know that if the present scenario is not rectified you will continue to lose viewers enmasse.

  • Tanda says:

    Asanteni kwa kuturudshia tamthlia ye2 nzur ya destiny heart.bt 2nawaomba muwe mnatoa taarifa na sababu kwa cku ambazo hamuonyshi.

  • star Tv says:

    Onnyango that is due to the migration that we are making now from analog to digital, the strength will be OK at any time in coming month. Tanda tumepokea mapendekezo yako na tutayafanyia kazi Ahsanteni sana.

  • GOBERT NDYAMKAMA says:

    STAR TV MNAJITAIDI KURUSHA MATANGAZO/HABARI VIZURI MIMI NI MDAU WA KIPINDI CHA TUONGEE ASUBUHI MI NINGEOMBA HIKI KIPINDI KINA MDA MFUPI SANA HASA KILE CHA SIKU YA JUMAMOSI JICHO LETU KWENYE HABARI WATU WANAKUWA BADO WANATAKA UFAFANUZI ZAIDI ILA MDA HAUTOSHI NA KIPINDI NI KIZURI JITAHIDI MUHONGEZE ANGALAU NUSU SAA SIKU YA J MOSI

  • GOBERT NDYAMKAMA says:

    HONGERA KWA KUTOA HUDUMA NZURI; MIMI NI MDAU WA TUONGEE ASUBUHI NAOMBA MUONGEZE MDA HASA SIKU YA JUMAMOSI MDA HAUTOSHI NA MADA ZILE NI NDEFU JICHO LA HABARI ONGEZA HANGALAU NUSU SAA ASANTE SANA

  • Tanda says:

    Hi star tv,Ahsanteni kwa ku2malzia tamthlia ya destiny heart.2nawaomba mtuambie cku rasmi ya kuanza kwa tamthlia mpya ya ‘dangerous love’ kwan 2naisubr kwa ham sana. By da wy,star tv mnatsha kwn mna2pa raha.asanten.

  • GOSBERT MUTASINGWA says:

    I WANT TO COMMUNICATE PERSONALLY WITH DOTO EMMANUEL BULENDU. PLEASE SEND ME YOUR EMAIL ADDRESS OR MOBILE PHONE NUMBER. IAM IN BIHARAMULO WORKING WITH RULENGE NGARA CATHOLIC DIOCESE. IAM NOT A PTIREST BUT IAM A FATHER OF FOUR CHILDREN

    +255 O784 857 775
    PLEASE CALL


Leave a Comment

Latest Topics

Waziri Dk. Mary Nagu akutana na ujumbe wa wawakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka China.

Waziri Dk. Mary Nagu akutana na ujumbe wa wawakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka China.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akisalimiana na aliyekuwa Mwakilishi Mkuu wa [Read More]

WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA

WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakimshukuru Mtembi Majebele baada ya kupewa heshimi ya Kuwa [Read More]

DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI

DKT BILAL AZINDUA DAHARIA LA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA KORONGWE BEACH-WILAYA YA NKASI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi jengo la [Read More]

UZINDUZI WA MAULID KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR

UZINDUZI WA MAULID KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar Dk, Ali Mohamed Shein akisalimiana na Masheikh na waheshimiwa mbalimbali alipohudhuria katika Kisiwa [Read More]

Gauck kuwa rais mpya wa Ujerumani

Gauck kuwa rais mpya wa Ujerumani

Viongozi wa kisiasa nchini Ujerumani wamemchaguwa mwanaharakati wa haki za binadamu Joachim Gauck kuwa mgombea wao wa [Read More]

Recent Comments

Aryanna Hallenbeck had this to say

Enjoyed every bit of your blog article.Much thanks again. Read the post

Optatus Malume had this to say

Wakati Kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma za jamii inachunguza watendaji wa wizara ya afya isiishie hapo waende hadi Read the post

Martine Emmanuel Mbogo had this to say

Star tv mnayo nafasi kubwa sana ya kusaidia kupatikana kwa katiba nzuri itakayowaletea manufaa watanzania wote kwa Read the post

Ahmed Haji had this to say

Tuanze na Solomon Kwanza tunashukuru sana kwa pongezi zako, nasi tunakuahidi hatutobweteka na tutaendelea kutoa huduma Read the post

bryan john had this to say

Binafsi nawapongezen sana madaktari wote mlokuwa mkiendesha mgomo kwa kurejea kazin lakin nina mashaka na nyie kwann Read the post

Popular Topics