Star Television

WWF yatoa ripoti inayoonesha madhara ya shughuli za binadamu.
Na James Range,

Dar es salaam.

Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali la kuhifadhi uoto wa asili na mazingira WWF limetoa ripoti inayoonesha madhara makubwa yanayotokana na shughuli za binadamu katika mabadiliko ya tabia nchi.

Ripoti hiyo ya kidunia imezitaja nchi kumi za bara la Ulaya,AmericanaAsiakuwa vinara wa uharibifu huo na kuonesha namna ambavyo mazingira ya nchi hizo yalivyoathiriwa na shughuli za binadamu.

Akiongea na Star Tv kwenye mahojiano maalumu kuhusiana na ripoti hiyo, Mratibu wa Programu ya misitu wa WWF Bwana Peter Sumbi amesema inakadiwa kuwa ifikapo mwaka 2050 katika kila watu watatu, wawili katiyaowatakuwa wamehamia mjini.

Ameongeza kuwa hali hiyo itasababisha uharibifu mkubwa wa mazingira kwenye miji lakini pia utaongeza mahitaji ya matumizi ya nishati mijini na hivyo kuchangia kwa kiasi kikubwa uchafuzi wa mazingira.

Taarifa hiyo pia imezitaja nchi ambazo tayari zimeanza kupata madhara makubwa kutokana na watu kuhamia mijini lakini pia kuharibu mazingira kunakotokana na watu kuendeleza miji bila mpangilio.

Kwa mujibu wa Ripoti hiyo ya WWF asilimia 30 ya rasilimali za asili zimepotea katika kipindi cha miaka 40 na kwamba dunia isipochukua hatua madhubuti athari zinaweza kuwa kubwa.

Mwisho.

Tanzania, UAE wasaini makubaliano ya uwekezaji kibiashara.
Na Neema Ndetto,

Dar es salaam.

Wafanyabiashara kutoka nchi za umoja wa falme za kiarabu UAE wamesaini mkataba wa makubaliano ya kibiashara na mamlaka ya maendeleo ya biashara hapa nchini Tan Trade kwa lengo la kufungua fursa za uwekezaji kwa nchi zote mbili.

Akizungumza jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kusaini makubaliano hayo, Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia uwekezaji na uwezeshaji Dokta Mary Nagu amesemaTanzaniaimekuwa ikinunua kwa wingi vitu kutoka nje ya nchi hivyo ujio wa wafanyabiashara hao ni changamoto kwaTanzaniakuhakikisha inauza bidhaa kwa wingi nje ya nchi.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Abdalla Kigoda amesema wawekezaji wengi huwekeza sehemu zenye mazingira mazuri na salama kibiashara.

Naye Balozi wa nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu Tanzania Mallala Mubarack Al Ameri amesemaTanzaniabado ina fursa nyingi za kibiashara na vivutio vingi vya uwekezaji.

AmesemaTanzaniabado inahitajisanawawekezaji kwenye sekta ya kilimo kutokana na uchache wa mazao yanayosafirishwa nje ya nchi ikiwemo Kahawa, Pamba, Katani, Chai na Tumbaku.

Akizungumzia suala la madini amesemaTanzaniani nchi ya pili kwa madini ukiachana na Afrika ya Kusini lakini bado hayajalinufaisha Taifa kutokana na kukosa uwekezaji stahiki.

Mwisho

Hukumu kesi ya Prof. Mahalu kutolewa Julai 11 mwaka huu.
Na Mariam Mogella,

Dar Es Salaam.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam inatarajia kutoa hukumu ya kesi inayomkabili aliyekuwa Balozi waTanzanianchini Italia Profesa Costarick Mhalu pamoja na aliyekuwa muhasibu wake Grace Martin Julai 11 Mwaka huu.

Kesi hiyo ambayo imeahirisha leo na hakimu mkazi wa mahakama ya Kisutu Evelyn  Mwigeta itatajwa June 14 baada ya hoja za pande zote mbili kuwasilishwa Juni 11 mwaka huu.

Hata hivyo Hakimu Mugeta amesema tayari mwenendo wa kesi hiyo ulishatolewa kwa pande zote mbili kwa njia ya mtandao.

Profesa Mahalu na aliyekuwa mhasibu wake Grace Martin wanakabiliwa na shitaka la uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya EURO 2,065,827.60 ambazo ni sawa na shilingi bilioni tatu za kitanzania.

Akihojiwa kuhusu mikataba miwili iliyotumika kununua jengo la ubalozi waTanzanianchini Italia Profesa Mahalu amedai kuwa kulikuwepo na mikataba miwili ya ununuzi wa jengohiloambayo yote aliwasilisha serikalini.

Ameongeza  kuwa aliiarifu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwamba wanategemea kununua jengo kwa ajili ya ubalozi wa Tanzania  kwa mikataba miwili na aliinunua nyumba hiyo kwa maslahi ya Serikali na yeye hakupata kitu chochote.

Kuhusu madai kwamba aliingia mikataba miwili kwa ajili ya kununua jengohilobila ya kuwepo mtu mwingine wa kushuhudia, Balozi Mahalu alidai kuwa yeye alikuwa mwakilishi waTanzanianchini Italia na alipata maelekezo ya kununua jengohilobaada ya wizara ya ujenzi kujiridhisha kutokana na tathmini waliyokuwa wameifanya.

Mwisho.

TACAIDS yashauriwa kutenga fedha za miradi kwa waathirika.
Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam.

Kamati ya Kudumu ya Bunge inayoshughulikia masuala ya UKIMWI imeishauri Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI nchini TACAIDS kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya kubuni miradi itakayowainua kiuchumi waathirika wa ugonjwa huo.

Kamati hiyo imeitaka TACAIDS kuacha kutenga fedha kwa ajili ya masuala ya utoaji elimu pekee hatua ambayo haiwezi kuwasaidia waathirika hao kuondokana na hali ngumu ya maisha.

Ushauri huo unakuja kutokana na mfuko wa maendeleo ya jamii Tanzania TASAF kutoa taarifa ya kuwepo kwa utoaji wa elimu mara kwa mara kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo hatua iliyosababisha Wabunge hao kuhoji ni kiwango gani cha fedha kilichotengwa kwa ajili ya shughuli hiyo.

Kamati hiyo imedai kuwa kiwango cha asilimia 40 cha fedha zilizotengwa katika utoaji wa elimu kati ya shilingi bilioni 7.7 za miradi 27 ya UKIMWI nchini zinaishia kwa watu ambao si walengwa.

Kwa mujibu wa wajumbe wa Kamati hiyo Mheshimiwa Maria Hewa na Dokta Kebwe Steven Kebwe hatua hiyo inadidimiza maendeleo ya serikali ya kupambana na ugonjwa huo.

Kufuatia ushauri huo Afisa Miradi wa TASAF Bwana Erasto Machume amesema bila utoaji wa elimu kwa jamii, kiwango cha maambukizi ya UKIMWI hakiwezi kupungua na hivyo kuishauri kamati hiyo kuona kuwa asilimia ya fedha zilizotengwa ni sahihi.

Imedaiwa kuwa hali ya utoaji wa elimu kuhusu maambukizi ya ukimwi si ya kuridhisha, hivyo wadau wa masuala ya ukimwi wanapaswa kubuni mbinu mbadala wa kuondokana na ugonjwa huo.

Mwisho.

Tishio la kumuua Mbunge, Diwani wa Nduli Iringa Mahakamani.
Na Mawazo Malembeka,

Iringa.

Diwani wa Kata ya Nduli Manispaa ya Iringa Idd Rashid Chonanga amepandishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Iringa kwa makosa mawili ya kutishia kuua kwa maneno.

Diwani huyo wa CCM mwenye umri wa miaka 65 anadaiwa kutenda kosahiloMei 14, mwaka huu katika eneo la Ofisi za Manispaa ya Iringa ambapo alitishia kwa maneno kuwaua Mbunge wa CHADEMA wa Jimbo la Iringa Mchungaji Peter Msigwa na Diwani wa CHADEMA kata ya Mivinjeni Frank Nyalusi.

Mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Iringa Consolata Singano, wakili wa Serikali Faraja Msuya alisema mtuhumiwa Chonanga anadaiwa kutenda kosahilokinyume na kifungu namba 89 cha kanuni ya adhabu, kifungu kidogo cha 2a, sura ya 16kamailivyofanyiwa marejeo mwaka 2002.

Mtuhumiwa Chonanga amekanusha mashtaka yote mawili ambapo hakimu Singano amesema dhamana iko wazi kwa wadhamini wawili.

Amesema kila mdhamini anatakiwa kuwa namaliisiyohamishika yenye thamani ya Shilingi milioni tano na mmoja wa wadhamini hao lazima awe mtumishi wa Serikali.

Shaurihilolitarejeshwa mahakamani Mei 30, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa ambapo hadi Star Tv inaondoka mahakamani hapo majira ya alasiri, wadhamini wa mtuhumiwa walikuwa hajakamilisha masharti ya dhamana.

Diwani huyo amepanda kizimbani ikiwa ni siku moja baada ya watoto wake watatu na kijana mmoja kupandishwa katika kizimba cha mahakama ya wilaya kwa tuhuma za kujeruhi watu watatu kwa mapanga kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA huko Nduli katika jaribio lao la kutaka kumkata mapanga Mbunge wa CHADEMA Iringa Mjini Mchungaji Peter Msingwa.

Awali majira ya asubuhi, wafuasi wa CHADEMA wakiongozwa na Mbunge wao walikusanyika katika kituo Kikuu cha polisi Mjini Iringa wakishinikiza diwani huyo kupelekwa mahakamani na hata walipoambiwa atapelekwa walitaka apande Karandikakamawatuhumiwa wengine kitendo ambacho hakikufanyika na kuleta sintoelewana na viongozi wa Polisi.

Mwisho

Nusu ya raia wa Sudan kusini wananjaa
Zaidi ya nusu ya raia wa Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa.

Raia wa Sudan Kusini wakabiliwa na njaa

Shirika la chakula duniani limesema kuwa hali hiyo imechangiwa pakubwa na machafuko kati ya Sudan Kusini na jirani zao Sudan.

Shirika hilo limesema kuwa mapigano katika maeneo ya mipaka na pia kufungwa kwa visima kadhaa vya mafuta kumetatiza uchumi wa Sudan Kusini.

Ripoti hiyo inaonya kuwa kadiri machafuko yanavyoendelea kati ya Sudan na Sudan Kusini ndivyo baa la njaa linazidi kutatiza wa Sudan Kusini.

Hapa awali ilikadiriwa kuwa watu takriban milioni 4.7 walikuwa wanakabiliwa na njaa. Lakini sasa yaonekana hali ni mbaya zaidi.

Nchi hiyo kwa wakati huu inahitaji nafaka tani nusu milioni.

Barabara mbovu zinafanya mambo kuwa magumu zaidi kwani usambazaji wa vyakula huwa vigumu zaidi.

BBC

Hoteli yashambuliwa na magaidi Mombasa
Hoteli moja maarufu visiwani Mombasa imeshambuliwa kwa maguruneti na kusababisha kifo cha mtu mmoja.

Magaidi washambulia hoteli kando ya mahali hapa

Hoteli hiyo ,Bella Vista Restaurant,ni maarufu sana kwa watalii na wenyeji na iko kando ya barabara kuu itokayo bandari ya Mombasa.

Mkuu wa kitengo cha polisi wa jinai mjini Mombasa Bwana Ambrose Munyasya aliambia BBC kuwa watu watano walijeruhiwa vibaya katika kisa hicho.

Polisi wanasema kuwa uchunguzi wao wa awali unaonyesha kuwa kulikuwa na milipuko mitatu katika klabu hicho cha Bella Vista Restaurant.

Milipuko hiyo ilisababisha uharibifu wa magari sita yaliokuwa yameegeshwa kando ya hoteli hiyo.

Mkuu huyo wa polisi alisema kufikia sasa wanahofia kuwa shambulizi hilo lilitekelezwa na magaidi.

Inadaiwa kuwa watu wawili walikwenda katika Klabu hicho wakitaka kuruhusiwa kuingia.

Lakini walipotakiwa kupekeliwa na maaskari wa hoteli hiyo walikataa na ndipo wakarusha maguruneti hayo.

Walioshuhudia mkasa huo wanasema kuwa magaidi hao walifyatua risasi ovyo ovyo wakati walipokuwa wakitoroka.

Hata hivyo polisi wanasema hawaja mkamata mtu yeyote kutokana na kisa hicho.

BBC

Vikosi vya EU vyashambulia maharamia.
Vikosi vya wanamaji wa EU, vimefanya shambulio lao la kwanza dhidi ya maharamia wa kisomali katika nchi kavu na kusema wameharibu baadhi ya maboti za maharamia hao.

Vikosi hivyo vilisafirishwa kwa helikopta hadi katika kitovu cha maharamia hao katika bandari ya Haradhere.

Vikosi vinavyopambana na maharamia havijakuwa vikipambana na maharamia katika maeneo ya nchi kavu , wakihofia kukamatwa kwa wafanyakazi wa meli hizo.

Maharamia nchini Somalia wamekamata meli kadhaa katika bahari hindi na wao hutaka kutolewa kwa kikombozi kwanza kabla ya kuachiliwa kwa meli hizo.

Kwa sasa wanadhaniwa kuteka takriban meli 17 na wafanyakazi 300 wa meli hizo.

Kisa cha hivi karibuni cha kukamatwa kwa meli kimehusisha meli ya ugiriki ya mafuta ‘Smyrni’ ambayo ilitekwa katika bahari ya Arabia wiki jana.

Meli hiyo ambayo ina bendera ya Liberia, imebeba tani 135,000 za mafuta ikielekea nchini Somalia.

Mwandishi wa BBC wa maswala ya usalama, Frank Gardner anasema kuwa shambulio hilo ni hatua muhimu katika vita dhidi ya maharamia.

Hii ni mara ya kwanza, tangu EU kushika doria katika pwani ya Somalia tangu Disemba mwaka 2008.

BBC

Ocampo ataka mwengine akamatwe Congo.
Kiongozi wa mashtaka katika mahakama ya kimataifa ya Uhalifu ICC Luis Moreno Ocampo ametoa ombi la kukamatwa kwa kiongozi wa kundi la wanamgambo wa kihutu la FDLR katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Sylvestre Mudachumura.

Bosco Ntaganda aongezewa mashitaka na Ocampo

Bwana Ocampo pia anataka mashtaka mapya kufunguliwa dhidi ya Jenerali Muasi wa jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ,Bosco Ntaganda.

Ocampo anasema kuwa Sylvestre Mudacumura, ni kiongozi wa waasi ambaye kwa sasa anahangaisha raia katika eneo la Mashariki mwa Congo.

Wote wawili sasa wanasakwa ili kujibu mashitaka uhalifu dhidi ya binadamu , uhalifu wa kivita, mauaji na ubakaji .

Bwana Moreno-Ocampo anasema kuwa Bosco Ntaganda na Sylvestre Mudachumura ni watu hatari zaidi na kuna ushahidi wa kutosha wa kuweza kuwapata wawili hao na hatia.

Hata hivyo mahakama ya ICC lazima impe Ocampo ruhusa ya kumuongezea mashitaka Ntaganda na pia kutaka Sylvestre Mudachumura akamatwe.

Mudacumura ndio mkuu wa FDLR, au wapiganaji wa ukombozi wa Rwanda. Viongozi wa kundi hilo inasadikiwa walishiriki katika mauji ya kimbari ya mwaka 1994.

BBC

Rais mpya wa Ufarnsa Hollande aapishwa.
Francois Hollande ametawazwa kama rais mpya wa Ufaransa, na kumfanya kuwa rais wa kwanza wa kisosholisti kuapishwa katika miaka kumi na saba.

Bwana Hollande alisema kuwa anafahamu vyema changamoto ambazo Ufaransa inakabiliana nazo ikiwemo, madeni na uchumi unaojikokota.

Baadaye hii leo rais Hollande atamteua waziri mkuu na kisha kwenda nchini Ujerumani kwa mazungumzo na Chansella Angela Merkel.

Bwana Hollande angependa kufanya mazungumzo zaidi kuhusu mpango wa Ujerumani wa kutafuta suluhu kwa mgogoro wa kiuchumi unaokumba bara la Ulaya.

Hapo jana thamani ya Euro ilishuka masoko ya hisa nayo yakishuka huku hali ya kisiasa nchini Ugiriki ikiendelea kuwa tete.

Mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa fedha wa ulaya, Jean-Claude Juncker, alisisitiza hapo jana kuwa watafanya kila wawezalo kuhakikisha kuwa Ugiriki inasalia katika muungano wa Ulaya.

Bwana Juncker anasubiri kuundwa haraka kwa serikali mpya ya Ugiriki siku tisa baada ya kufanyika uchaguzi mkuu.

Lakini pia alionya kuwa Ugiriki haina budi ila kuendelea na juhudi muhimu zilizoanzishwa kuweza kuokoa uchumi wake licha ya sera hizo kupingwa na wapiga kura wengi.

Wengi mjini Berlin wanamshuku bwana Hollande. Hawapendi kuwa wakati wa kampeini zake alionekana kupinga mipango ya kupunguza matumizi ya serikali kwa lengo la kuokoa uchumi pamoja na kuukuza.

Wengi walitafsiri hilo kama juhudi za Ufaransa kutaka kuongoza tena muungano wa Ulaya.

BBC