Frequency
33 Comments for “Frequency”
Leave a Comment
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akisalimiana na aliyekuwa Mwakilishi Mkuu wa [Read More]
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakimshukuru Mtembi Majebele baada ya kupewa heshimi ya Kuwa [Read More]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi jengo la [Read More]
Rais wa Zanzibar Dk, Ali Mohamed Shein akisalimiana na Masheikh na waheshimiwa mbalimbali alipohudhuria katika Kisiwa [Read More]
Viongozi wa kisiasa nchini Ujerumani wamemchaguwa mwanaharakati wa haki za binadamu Joachim Gauck kuwa mgombea wao wa [Read More]
Enjoyed every bit of your blog article.Much thanks again. Read the post
Wakati Kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma za jamii inachunguza watendaji wa wizara ya afya isiishie hapo waende hadi Read the post
Star tv mnayo nafasi kubwa sana ya kusaidia kupatikana kwa katiba nzuri itakayowaletea manufaa watanzania wote kwa Read the post
Tuanze na Solomon Kwanza tunashukuru sana kwa pongezi zako, nasi tunakuahidi hatutobweteka na tutaendelea kutoa huduma Read the post
Binafsi nawapongezen sana madaktari wote mlokuwa mkiendesha mgomo kwa kurejea kazin lakin nina mashaka na nyie kwann Read the post

Habari star TV,
Siku hizi mbona Star TV imekuwa na tabu kupatikana,haipatikani katika dish kuna vipingi vizuri ambavyo tunavikosa.
Signal yenu imeshuka tena!,kuna tatizo gani tena? maana tunavikosa vipindi vyenu vizuri,pia na nyinyi mnakosa pesa!..Rekebisheni jamani hilo tatizo..
Morogoro
ukweli signa yenu imeshuka sana hatuwapati jameni kwenye madishi, mie kama fundi nakutana navikwazo vingi sana vya kutopatikana kwenu plz rekebisheni panapowezekana. HATUWAPATI KABISAAA. MIE NIPO MWANZA NYAKATO EM FIKIRIA KUKOSWA STASHENI YA STAR
smgl tafadhali rekebisheni signal za mitambo ya vyombo vyenu vya habari ili sisi wakazi wa kahama tuendelee kupata vipindi vyenu kama zamani kwani huku kahama ni wiki ya tatu hatupati kwa ufasaha matangazo tv
Ni kipindi cha takriban miezi2hadi leo niandikapo massage hii , signal za StarTv hapa Mkoani lindi hazipatikani hususan kwa wale wenye satellite dish. Je kuna mabadiliko mliyofanya (frequency,symbol rate, na frequency error corection)ama mmefunga analogy broadcasting sytem na kuhamia mfumo wa digital broadcasting system?
Naomba majibu kupitia e-mail yangu
Tunasikitika sana kuona Tamthilia inayoletwa siku ya Jumanne, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili saa tatu usiku mbona hamtuletei mmetukatishia kwani watu wote Mmetuboa sana kwa. Tunaomba Mtuletee.
Nahitaji kufahamu kama mmebadilisha frequency zenu au broadcasting sysytem yenu maana hampo hewani huku kigoma and kasulu kwa muda mrefu kiasi ya miezi mmoja na nusu sasa… Channel ilianza kuwa na kama scratch za kwenye CD then hampatikani kabisa.
Jengine jaribu kuwa up to date ktk hii website yenu, mbona TV stations za Tanzania mmpo nyuma sn, wenzenu Kenya, Uganda na Rwanda wapo juu kuanzia matangazo ktk TV hadi kwenye Internet….BADILIKENI JAMANI
BADO NI TATIZO LA SATELITE KWA UJUMLA HATUPATI PICTURE ILYOTULIA TATIZO NI NINI? HUKU IRINGA(MAFINGA)
Jamani mnaboa sasa,Tangazo lenu la Mwaa Mpya na rismass mwasema Hatukamatikiiii,umbe Urongo mumekamatika,Kwani StarTv haipatiani abisa sasa na mmekuwa Jeuri wala hamtoi maelezo,Huo ni Ushamba toa maelezo ili watu tujue unatatizo Gani,au Mumekuwa kama TANESCO? Ok lakini naamini kuwa Wabongo kwa kuvamia Mambo the kuendesha hatuwezi Hasa nhay ya Technology,ahahahaha Poleni ,No Hakuna Pole hapa
Alfan, Gwakisa, Ally na wengine tunapenda kutangaza rasmi na tumeendelea kusema kuwa kwa sasa tuko na tatizo kidogo katika mfumo wetu wa urushaji wa matangazo, hatupatikani vizuri kwa kweli, tatizo ni kuwa tupo katika hatua za kati za kufunga vifaa vipya na vya kisasa ili kuboresha mfumo wa digital baada ya ule uliozoeleka, kwa wale wanaotujua hawatosita kusema, tuko na mafundi waliobobea toka sehemu mbali mbali duniani ambao wamesambazwa mikoani kutatua tatizo hili, ila tukubali kuwa inahitaji gharama kubwa na sisi ni free watch, ila tunajitahidi na mtupe mda kidogo wadau, Kwa uwezo wa Mungu mtatuona katika ubora wa hali ya juu zaidi.
Ahsanteni
had mwnza hatuwapat?plz msianzishe dangerous love kabla hamjaimarka
mpona mmekata mawasiliano ya startv tumeboreka kwa kukosa tamthilia ya desinged of heart tunaomba mturejeshe chanili yetu
Hii bila shaka ni hujuma kwa walala hoi tusioweza kununua ving’amuzii…Channel zote za Bongo katika Intelsat 906 utata mtupu,including this…
We will change the satellite downlink parameters for star TV on Friday 20th at 1200hrs. The parameters that change are SR-4900KS/s; FEC-1/2. There will be no change in frequency 3884MHZ,pol LHCP, Sat is intelsat 906.
ENDELEA KUZAMA STAR TV KIOO CHA JAMII
Aisee bora mbadlishe matatzo yenu hayana tofaut na Ch.10 inavosumbua.. Tutafrah kdg mkiwa strong walau kama Itv na wenzie wao wanajtahd hata kwny futi6 wanajiweza vzr, Igeni wao
Mimi nafikiri startv itapatikana vizuri lkn hofu yangu sisi wenye kipato cha chini tutarudi enzi zile kuangalia tv kwa mjumbe kwa sababu ya kushindwa kulipia king’amuzi
Cband na futi 6 yangu nimewakosa kabisa, Nimefunga kU band chini ya Cband yangu nimefanikiwa kuwapata startv DarFeed
[F 11511 SR 4080
7/8
mpo kwenye majaribio au ni yakwenu tu.. Mtaithibitisha itumike? Na leo ijumaa freq mpya mlizotupa za Cband hatujawapata? Mnatuahidi nn..
Duuu hamsomeki kabisa
tunaonba mtuandikie humu kwenye mtandao wenu hizo frequency mpya.hatuwapati kabisa
jamani hizo frequency mbona hamzitangazi vipi? si mseme
Hallow Startv tunaomba basi hizo friquence mtuwekee kwenye internate yenu kwa sababu sasa hivi hatuwapati kabisa.
PAMOJA NA KUBADILI SYMBAL RATE KUTOKA 3271 KWENDA 4900, BADO SIJAIPATA STAR TV, PLEASE UPDATE US, WE ARE DIEING TO MISS “DESTINED HEARTS. SIKU NJEMA
Ningependa kujua, kwanini hampatikani kwenye Masafa ya KU..?
Heri ya Mwaka mpya 2012.
Tumeuona mwaka salama lakini Bado tunaboreka na star tv jamani tuambieni. Tumejaribu kama mlivyoelekeza lakini bado we can’t read you. What next?????
Have a good day. Godbless you all.
Tunaboresha mambo muendelee kutuvumilia zaidi.
Niliona matangazo kuwa mtabadilisha frequencies. Bahati mbbaya sikuwahi kuzirekodi hizo mpya. Tafadhali nijulishe kama kukosa kurekebisha hizo frequencies za dish ndiko kunakosababisha msionekane. Kama si hivyo, basi naomba, kupitia forum hii, kupewa hizo mpya ili nijaribu kama nitawapata. Kwasasa tunalazimika kuangalia channels hata kama haivutii.
halo songea nawapata kwa shida sana halafu mbona kiss fm songea hamna? NA Je mnapatikana katika ku?
jitahidini basi ku’fix hilo tatizo coz sie wa nkotokuyane nachingwea hatuwapati na kikao bunge ndo kimeanza…
Yaaaani, mgejua jinsi tunavyokwazika hapa Shinyanga kwa kuwakosa hewani mgeongeza juhudi za kurekebisha mitambo yenu.
Bukoba wenye dish hatuipati startv.Jamani kuna nini?tusaidieni.Channel yetu hii.
Pia mwaka huu mmetuweza kweli.Mecha za AFCOM mmeamuwa kutunyima?I know pengine gharama na haki ya kuonyesha vinaweza kuwa vimechangia.But no problem tunaipenda channel yetu yenye maadili ya Ki Tanzania, na yenye Presenters, Journalist,Editors na wengine wengi waliokwenda shule hasa shule za uhakika.Mfano shule ya SAUT.t
WEKENI VIPIMO VYA KUWAPATA KATIKA STAR TV MLIVYOBADILISHA HASA WATUMIA MADISHI