Copyright @ STAR TV LTD . All Rights Reserved.
Kikwete, Migiro wazungumza Ikulu Dar
RAIS Jakaya Kikwete amekutana na kuzungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dkt. Asha-Rose Migiro.
Taarifa iliyotolewa jana na Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ilisema katika mkutano huo uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam, viongozi hao wawili walizungumzia masuala mbali mbali ya kitaifa na kimataifa, baadaye walikula chakula cha mchana pamoja. ...
.
..
.
.. . .
.
.
...
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Sahara Communication and Publishing Co. Ltd
P.O BOX 1732
MWANZA
TEL: +255282503262
FAX: +255282500713
Kwa maoni na Ushauri:: maoni@startvtz.com
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu Dar Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha-Rose Migiro ambapo alifanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu huyo baada ya kurejea Dar baada ya kufanya ziara ya siku tisa mkoani Tanga.
Yanga yatinga nusu fainali, Simba kucheza nusu fainali ya kwanza leo.
Na Mwandishi Maalum, Dar Es Salaam.
Habari za Biashara na Uchumi.
Celtel yakabidhi msaada wa madawati.
Kampuni ya simu za mkononi ya Celtel imekabidhi misaada ya madawati pamoja na kuikarabati shule ya msingi Kisauke iliyopo katika manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam...
YANGA, jana ilifuata nyayo za mtani wake wa jadi Simba na kutinga nusu fainali za michuano ya Kombe la Kagame kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Vital ‘O’ ya Burundi kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
. ....