Startv Tanzania-Habari
Programme Line Up
Home     I    About Us     I     Contact Us    I      Startv Crew    I     Schedule     I     Coverage     I     Login
Copyright  @  STAR TV LTD . All Rights Reserved.
Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam huku vijana hao wa kishamapanda wakionekana kushindwa kutoa upinzani kwa Yanga

Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo wa ligikuu soka Tanzania Bara  kocha huyo amesema kipigo hicho ni kikubwa lakini wapenzi wa Toto wasiwe na hofu juu ya timu yao.


Hali bado si shwari kwa vijana hao wa kanda ya ziwa kwani bado wana buruza mkia kwa michezo 17 waliyo cheza na kujikusanyia pointi 13 pekee.

Duru la 18 la ligikuu soka Tanzania Bara litaendelea tena jumatano ya wiki hii kwa mchezo kati ya wekundu wa msimbazi Simba kujitupa kiwanjani kupambana na African Loyn katika uwanja wa Uhuru.



.






.


Bongo Beats every Monday to Saturday @ 1900hrs
Bonga na Startv every  Monday to Saturday @ 1705hrs
Habari every  Monday to Sunday @ 2000hrs
Home                                            About Us                                                    Contact Us                                                Startv Crew                                           Login
Leo::
Startv Menu