Copyright @ STAR TV LTD . All Rights Reserved.
Mhe Chilolo ametetea vema nafasi yake kwa kuwa wa kwanza baada ya kuwashinda wenzake 14 kwa kupata 266 sawa na asilimia 84 ya kura zote 315 halali zilizopigwa akifuatiwa na Mlata aliyepata kura 183.
Msimamizi wa uchaguzi huo mkuu wa mkoa wa Singida Dk.Parseko Kone amesema wagombea wengine ni Dk Grace Puja aliyeshika nafasi ya tatu kwa kura 177, Aisha Matembe wanne kwa kura 166 na Josephine Msweti wa tano kwa kupata jumla ya kura 121.
Bongo Beats every Monday to Saturday @ 1900hrs
Bonga na Startv every Monday to Saturday @ 1705hrs
Habari every Monday to Sunday @ 2000hrs